Vita Kuu ya Kwanza ya Duniailikuwa vita iliyopigwa kuanzia mwaka1914hadi1918. Mataifa wapiganaji yalikuwaUjerumani,Austria-Hungaria,BulgarianaUturuki(ziliitwa "Mataifa ya Kati",ing.central powers) kwa upande mmoja dhidi yaUfaransa,Urusi,Uingereza,Italia,Marekanina nchi mbalimbali zilizoshirikiana nazo (zilitwa "Mataifa ya Ushirikiano", ing.allied powers).